Mashabiki wa Simba wakasirishwa page ya club kupost utajiri wa MO

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania.

Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa Utajiri wake kupitia ukurasa wa Klabu ya Simba ambapo yeye ndie muwekezaji wa Klabu.

1754570885903.jpg
 
😂😂😂😂

Atapostiwa mpaka akinya
 
Hatujachukizwa hata kidogo ....bali tunajivunia tajiri wetu nambari Moja Tanzania ....ambaue utajiri wake si wamakandokando
 
Back
Top Bottom