Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6

Kwa mantiki yao ni kwamba hata wao walipbondwa 5G nao walikuwa wamelipwa na GSM. Upuuzi kabisa. Kwa Lugha nyingine, kile kipigo cha Prisons kilitokana na Simba kununliwa na GSM



Niwajinga sana hawa jamaa
 
Kwa mantiki yao ni kwamba hata wao walipbondwa 5G nao walikuwa wamelipwa na GSM. Upuuzi kabisa. Kwa Lugha nyingine, kile kipigo cha Prisons kilitokana na Simba kununliwa na GSM[/QUOTE]


Wanazingua sana
 
Malalamiko yatazidi kuongezeka kumtafuta mchawi kumbe mchawi ni wao
 
Ifike hatua sisi mashabiki wa Yanga ambao tuna akili tuache kuwajibu,Wanapitia kipindi kigumu sana.
Mkuu infikia hatua hawa watu wasipojibiwa kwa wanachokisema ilihali ni cha uwongo basi itaaminika ni ukweli wakisemacho kumbe hakuna wakisemacho zaidi ya propaganda tuu
 
Malalamiko yatazidi kuongezeka kumtafuta mchawi kumbe mchawi ni wao
Hawajui kama kuna shida kwenye benchi lao la ufundi wanaanza kutafuta mchawi huku upande wa pili
 
Hili balaa lote limeletwa na virungu ya ugoko vya prisons,kwa kolo😅
 
Kwani GSM ndo Yanga
GSM yuko Yanga atangaze biashara zake
Anaenda team zingine kutangaza biashara zake
Wapumbavu, wao wenyewe wanakitambulisho cha GSM akiwa mwanachama wa simba sports
 
Wale wakina kisugu ni machawa wa viongozi nasikia wanapata mgawo na kupewa jezi za kuuzia viongozi ndio maana wako pale kutoa mapovu kutetea ata ujinga ujinga uliopo
 
Ukiwa shabiki wa Simba ni lazima uwe hauna akili 🚮

Kwanza Hair sio mali ya GSM kama wanavodai wao

Azam tv anadhamini ligi yote na ana timu inaitwa Azam fc lakini halina shida Hilo

Sportpesa alidhamini Simba, Yanga, Singida na Namungo lakini hakukua na shida

Juzi wanalalamika Jwaneng wamefikia Avic town je Avic ni mali ya Yanga ?

Wanalalamika Mwigulu kuwa mlezi wa Ihefu je Rage si mlezi wa Tabora united mbona hamlalamiki?
 
Miaka michache iliyopita SERENGETI walidhamini simba na yanga kwa pamoja. Wao ndio walileta yale mabasi ya Yutong kwa hizi timu ( simba wao wameshauza lile basi na nililiona linaenda Ruangwa huko) na hakukua na tatizo lolote. Kwa mujibu wa Kaduguda, ni yeye ndiye aliyemleta huyo mdhamini kwa timu zote mbili (yeye akiwa kiongozi wa simba wakati huo).
Ushauri.
Simba waache kutafuta huruma, wajenge timu imara
 
Hilo ndilo lamsingi, wanaacha kudeal na timu yao wanaleta hadithi zao za alpha olela hapaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…