Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6

Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6

Kwa mantiki yao ni kwamba hata wao walipbondwa 5G nao walikuwa wamelipwa na GSM. Upuuzi kabisa. Kwa Lugha nyingine, kile kipigo cha Prisons kilitokana na Simba kununliwa na GSM

Niwajinga sana hawa jamaa
 
Kwa mantiki yao ni kwamba hata wao walipbondwa 5G nao walikuwa wamelipwa na GSM. Upuuzi kabisa. Kwa Lugha nyingine, kile kipigo cha Prisons kilitokana na Simba kununliwa na GSM[/QUOTE]

Wanazingua sana
 
Izo ni akili ya watu Jamii ya Kisugu,Jamii iyo ndio iliyo shauri viongozi wa mbumbumbu Fc kuacha uwanja wa Chamazi kwenda kucheza kwenye Jaruba kule Morogoro.
Sasa kule kwenye majaruba Kuna timu zinaupiga mwingi kuliko wao sijui itakuaje.

Aya malalamiko yatazidi kuongezeka Kila gap la point na Yanga linavyo ongezeka.
Tegemea malalamiko ya kipuuzi kabisa kuliko unayo yasikia Sasa.
Wamesha sahau Azam anatimu Ligi kuu na ni mdhamini wa vilabu vyote vya ligi kuu.

Kitu Muhimu ni kuhakikisha mnara wa Rage unajengwa kama tulivyo kubaliana ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vinavyo pale msimbazi.
Malalamiko yatazidi kuongezeka kumtafuta mchawi kumbe mchawi ni wao
 
Ifike hatua sisi mashabiki wa Yanga ambao tuna akili tuache kuwajibu,Wanapitia kipindi kigumu sana.
Mkuu infikia hatua hawa watu wasipojibiwa kwa wanachokisema ilihali ni cha uwongo basi itaaminika ni ukweli wakisemacho kumbe hakuna wakisemacho zaidi ya propaganda tuu
 
Malalamiko yatazidi kuongezeka kumtafuta mchawi kumbe mchawi ni wao
Hawajui kama kuna shida kwenye benchi lao la ufundi wanaanza kutafuta mchawi huku upande wa pili
 
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA na AZAM nazenyewe zimedhaminiwa na GSM? mbona wanakula kichapo kama kawaida.

Hata ukiangalia kwenye mashindano makubwa ya CAF champions league nakwenyewe YANGA inahonga? Yani mashabiki wa simba ifikie wakati watumie akili basi hata yakuvukia barabara na walivyo wapumbau wa akili kuna mtu mmoja kaeneza huu uvumi basi wooote wamehamia kwenye hii hoja, na wameishikia bango kweli kweli baada yakuona matokeo yao na timu yao kwa sasa uwezo ni mdogo sana wa kuchukua ubingwa. Ni lazima ifikie wakati WATANZANIA tubadirike tuache upumbavu. Walianza yanga wachawi, ikaenda yanga wanatembeza bahasha, sasa upepo upo kwa GSM kudhamini timu 6 hawataki na imekuwa topic kuu kwa sass, inaonesha ni jinsi gani kolo akili zao zinavyozungushwa nawatu wachache ndani ya club. Ni upuuzi unaoshangaza sn.
Hili balaa lote limeletwa na virungu ya ugoko vya prisons,kwa kolo😅
 
Kwani GSM ndo Yanga
GSM yuko Yanga atangaze biashara zake
Anaenda team zingine kutangaza biashara zake
Wapumbavu, wao wenyewe wanakitambulisho cha GSM akiwa mwanachama wa simba sports
 
Izo ni akili ya watu Jamii ya Kisugu,Jamii iyo ndio iliyo shauri viongozi wa mbumbumbu Fc kuacha uwanja wa Chamazi kwenda kucheza kwenye Jaruba kule Morogoro.
Sasa kule kwenye majaruba Kuna timu zinaupiga mwingi kuliko wao sijui itakuaje.

Aya malalamiko yatazidi kuongezeka Kila gap la point na Yanga linavyo ongezeka.
Tegemea malalamiko ya kipuuzi kabisa kuliko unayo yasikia Sasa.
Wamesha sahau Azam anatimu Ligi kuu na ni mdhamini wa vilabu vyote vya ligi kuu.

Kitu Muhimu ni kuhakikisha mnara wa Rage unajengwa kama tulivyo kubaliana ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vinavyo pale msimbazi.
Wale wakina kisugu ni machawa wa viongozi nasikia wanapata mgawo na kupewa jezi za kuuzia viongozi ndio maana wako pale kutoa mapovu kutetea ata ujinga ujinga uliopo
 
Ukiwa shabiki wa Simba ni lazima uwe hauna akili 🚮

Kwanza Hair sio mali ya GSM kama wanavodai wao

Azam tv anadhamini ligi yote na ana timu inaitwa Azam fc lakini halina shida Hilo

Sportpesa alidhamini Simba, Yanga, Singida na Namungo lakini hakukua na shida

Juzi wanalalamika Jwaneng wamefikia Avic town je Avic ni mali ya Yanga ?

Wanalalamika Mwigulu kuwa mlezi wa Ihefu je Rage si mlezi wa Tabora united mbona hamlalamiki?
 
Miaka michache iliyopita SERENGETI walidhamini simba na yanga kwa pamoja. Wao ndio walileta yale mabasi ya Yutong kwa hizi timu ( simba wao wameshauza lile basi na nililiona linaenda Ruangwa huko) na hakukua na tatizo lolote. Kwa mujibu wa Kaduguda, ni yeye ndiye aliyemleta huyo mdhamini kwa timu zote mbili (yeye akiwa kiongozi wa simba wakati huo).
Ushauri.
Simba waache kutafuta huruma, wajenge timu imara
 
Hilo ndilo lamsingi, wanaacha kudeal na timu yao wanaleta hadithi zao za alpha olela hapaa
 
Back
Top Bottom