Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6

Facts Facts mkuu, kuna muda mashabiki wa simba wanatafutaka ahueni ya nitoke vipi ili wapate releaf na timu yao wanatafuta namna Ila ukweli timu yao mbovu sanaaa
 
Wale wakina kisugu ni machawa wa viongozi nasikia wanapata mgawo na kupewa jezi za kuuzia viongozi ndio maana wako pale kutoa mapovu kutetea ata ujinga ujinga uliopo
Ooooh kumbe yawezekana ni mkakati wao huoo
 
simba anayefungwa goli 5 na yanga, na yeye anapanga matokeo ?
 
Mi ndio nimeiona kwako
 
Hatuamini hilo,,
Kuwa namba 1 haishindikani ila kuwa namba 1 milele haiwezekani,,
 
Azam anadhamini timu 16 kwenye ligi kuu Tanzania bara

Mbona mpo kimya??

Ukiwa na timu mbovu unatafuta kila aina ya sababu!!!
Azam wanadhamini ligi ficha ujinga mkuu,azam wanaingia mkataba na bodi ya ligi sio timu,azam wanadhamini azam fc tu na ndo mana bidhaa za azam zinatangazwa na azam fc tu.
 
Azam wanadhamini timu zote zinazoshiriki ligi kuu wakati wenyewe pia wana timu inayoshiriki ligi hiyohiyo wanayoidhamini.
Azam wanadhamini Azam confederation waksti wama timu insshiriki mashindano hayo.
Wanataka hizo timu zisipate wadhammini?
Wakawatadutie wadhamini wengine badala ya kulalama.
 
Kwani GSM ndo Yanga
GSM yuko Yanga atangaze biashara zake
Anaenda team zingine kutangaza biashara zake
Simba wamegeuka lia lia tu. Wanataka kusema kuwa hata wao walipobandikwa 5G nao pia walikuwa wameliowa? Belouizdad alipoweka chuma nne na kutolewa kwenye mashindano nao walikuwa wamelipwa. Sima iliingia kwenye makunadi bila kufunga hata bao moja.
 
Hao wachezaji wa zamani tatizo ni ukosefu wa elimu na mawazo ya kizamani.
 
Tatizo huyo anaelalamika hata uelewa wa uwekezaji hata genge la nyanya hana. Ni ujingaujinga tu.
 
Kama vipi wamwambie tajiri yao na yeye adhamini hizo timu nyingine za ligi kuu kama ana hiyo jeuri.
 
Somaleni hapa chini udhamini unavyokuwa. Achani sababu za kuokoteza.👇
 

Attachments

  • Screenshot_2024-03-11-20-47-44-861_com.opera.app.news.jpg
    678.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-03-11-20-46-24-836_com.opera.app.news.jpg
    681.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-03-11-20-48-10-694_com.opera.app.news.jpg
    909.8 KB · Views: 6
Makolo wanatafuta au kuokoteza furaha kokote wanakodhani kuna faraja...waacheni waendelee kuokoteza furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…