Simba chama kubwa
Hawezi 😁Vipi bosi hajakata tamaa?
Hawezi [emoji16]
We unataka tuache ili mtambe?Mshambembeleza maana ndio kazi yenu nyingine kila akinuna
Fanyeni mabadiliko kama mlivokubaliana na mo akienda unadhani tajiri gani ataweka pesa kwenye mfumo wa zamaniMi nadhani ATUPISHE kwa utajiri WA mashabiki ulionao Simba INAWEZA ikajiendesha kabisa.
1. KIKUBWA ni KUSAJILI WANACHAMA wapya kwa MIFUMO ya KISASA na WANACHAMA kulipia ada Kila Baada ulya Mwezi Elfu 10...
2. Simba inaongoza kuwa na idadi kubwa ya WATU, kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kujaza uwanja nk.
3. Tuna ma BILIONI ya SUPER
BILIONI 5
CAFCL B 2.
MWAMEDI atupishe
Fanyeni mabadiliko kama mlivokubaliana na mo akienda unadhani tajiri gani ataweka pesa kwenye mfumo wa zamani
Mo anaipenda simba lakini pesa yake inapotea
Fanya mabadiliko acheni janja janja
Miaka 6 si hapa ugumu wa mabadiliko unatoka wap
Mnavyoongea sasa utasema mna maanishaa.Mi nadhani ATUPISHE kwa utajiri WA mashabiki ulionao Simba INAWEZA ikajiendesha kabisa.