Mashabiki wa Simba wana majukumu mawili kila msimu

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Watani wetu,

Wao kazi yao kama mashabiki hua wanaifahamu kila msimu,

Na majukumu ya mashabiki wa simba ni kama ifuatavyo,

1. Kuishangilia timu yao viwanja mbalimbali

2. Kujitahidi kumbembeleza tajiri asinune au asikate tamaa.

Kwa muda huu hamuwaoni hivo ndio wameshaenda kutekeleza jukumu lao la pili.
 
Mi nadhani ATUPISHE kwa utajiri WA mashabiki ulionao Simba INAWEZA ikajiendesha kabisa.

1. KIKUBWA ni KUSAJILI WANACHAMA wapya kwa MIFUMO ya KISASA na WANACHAMA kulipia ada Kila Baada ulya Mwezi Elfu 10...

2. Simba inaongoza kuwa na idadi kubwa ya WATU, kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kujaza uwanja nk.

3. Tuna ma BILIONI ya SUPER
BILIONI 5
CAFCL B 2.

MWAMEDI atupishe
 
Fanyeni mabadiliko kama mlivokubaliana na mo akienda unadhani tajiri gani ataweka pesa kwenye mfumo wa zamani
Mo anaipenda simba lakini pesa yake inapotea
Fanya mabadiliko acheni janja janja
Miaka 6 si hapa ugumu wa mabadiliko unatoka wap
 
Hii NCHI YETU hakuna kitu tunachoweza.

Hakuna wizara hata Moja Wala SEKTA Moja tunayoweza KUJIVUNIA kwa Miaka sitini ya Uhuru.

Sasa yeye miaka SITA tu analialia.
 
Mi nadhani ATUPISHE kwa utajiri WA mashabiki ulionao Simba INAWEZA ikajiendesha kabisa.

1. KIKUBWA ni KUSAJILI WANACHAMA wapya kwa MIFUMO ya KISASA na WANACHAMA kulipia ada Kila Baada ulya Mwezi Elfu 10...

2. Simba inaongoza kuwa na idadi kubwa ya WATU, kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kujaza uwanja nk.

3. Tuna ma BILIONI ya SUPER
BILIONI 5
CAFCL B 2.

MWAMEDI atupishe
Mnavyoongea sasa utasema mna maanishaa.
 
TAJIRI huna adui.....
TAJIRI ukifa hauozi Bwana.....
 
kolo.jpg
 
Back
Top Bottom