Mashabiki wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
 
Hahahahahaha #UTOPROMAX kwenye moja na mbili
 
Attachments

  • img_1_1692036340389.jpg
    img_1_1692036340389.jpg
    6.6 KB · Views: 1
25 yrs....Hii ni Robo Karne.

Kwamba Yanga haijawahi Kuingia CL ya CAF...

Duh ...hapo Lazima ndoto za Maruweruwe ziotwe na Kuweweseka kuwepo...
 
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
Zamani zipi izo unazozungumzia wewe maana mengine ni ya msimu wa jana tu?!....
 
Zamani gn unayoizungumzia wewe, si msimu ukiopita tu uliporomokea kwa luzas huko, au unaongelea makundi ya kufa na kuzikana. Endelea KuHAPA
 
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
Tupe matokeo ya mechi 2 za mwisho kukutana tarehe 16/4 na ile ya ngap. TUANZIE HAPO
 
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
tuondolee ugolo hapa
 
Shirikisho yanga walikuwa wanaingia sana ila malengo yao ilikuwa ni kupanda ndege ndio maana kuna msimu mkiwa na Gormahia mlishika mkia kwenye kundi.

Kuhusu kuzifunga timu kubwa kwao hakuna cha ajabu maana simba alishaifunga As vita ya djuma shabani ikiwa ya moto. Kwa hiyo kwa simba sio habari kuifunga timu kubwa kwao ila kwenu ni habari mnayoisubiri na ndio maana tunasema nyinyi ni underdog.
 
Wewe ambaye sio underdogo hujawahi kucheza final club bingwa au ya shirikisho [emoji23][emoji81][emoji28]
 
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
umesahau mwaka Jana yanga kashindwa kuingia makundi club bingwa au akili imekutoka , kula apple, vitunguu swaumu, ngano isoyokobolewa vitasaidia akili Yako. mwaka Jana aijawahi kuwa zamani
 
Back
Top Bottom