Mashabiki wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa

Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
Upo sahihi
 
Unawaza ww ujinga wako halafu unakuja kusema mashabiki wa Simba.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao

Mda utaongea
Robo Karne ukijitafuta! Hahahaaaa utopolo bhana.

Leo mnajiona bora baada ya misimu 25,yaani miaka 25.kwamba hakujawahi kuwepo Yanga bora.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom