Anatabasamu kuifunga ASAS ya "Djibouti"!🙏😂Hahahahahaha #UTOPROMAX kwenye moja na mbili
Zamani zipi izo unazozungumzia wewe maana mengine ni ya msimu wa jana tu?!....Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao
Mda utaongea
KUHAPA mbele ya mwenzi Mungu ndo kufanyaje?....NAHAPA!!mbele ya mwenzi Mungu!!
Muulize aliye HAPA!!KUHAPA mbele ya mwenyezi Mungu ndo kufanyaje?....
Tupe matokeo ya mechi 2 za mwisho kukutana tarehe 16/4 na ile ya ngap. TUANZIE HAPOMashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao
Mda utaongea
Ukijibiwa nitag.Tupe matokeo ya mechi 2 za mwisho kukutana tarehe 16/4 na ile ya ngap. TUANZIE HAPO
tuondolee ugolo hapaMashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku yanga akipata ufunguo tu wa kujua kucheza michezo ya kimataifa ndo basi ivo
Na mwaka huu mukiona yanga kaingia makundi
Nahapa mbele ya mwenzi Mungu
Kuna timu kubwa hapa barani afrika zitafungwa na yanga zikiwa nyumbani kwao
Mda utaongea
Shirikisho yanga walikuwa wanaingia sana ila malengo yao ilikuwa ni kupanda ndege ndio maana kuna msimu mkiwa na Gormahia mlishika mkia kwenye kundi.
Kuhusu kuzifunga timu kubwa kwao hakuna cha ajabu maana simba alishaifunga As vita ya djuma shabani ikiwa ya moto. Kwa hiyo kwa simba sio habari kuifunga timu kubwa kwao ila kwenu ni habari mnayoisubiri na ndio maana tunasema nyinyi ni underdog.
umesahau mwaka Jana yanga kashindwa kuingia makundi club bingwa au akili imekutoka , kula apple, vitunguu swaumu, ngano isoyokobolewa vitasaidia akili Yako. mwaka Jana aijawahi kuwa zamaniMashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa