Mashabiki wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa

Wewe ambaye sio underdogo hujawahi kucheza final club bingwa au ya shirikisho [emoji23][emoji81][emoji28]
Nyinyi ni underdog tu ndio maana mnaiota champions league. Fainal ya losers shirikisho haiwezi kuwapa ukubwa.Huo ndio ukweli.
 
Upo sahihi
 
Unawaza ww ujinga wako halafu unakuja kusema mashabiki wa Simba.
 
Reactions: Tui
Robo Karne ukijitafuta! Hahahaaaa utopolo bhana.

Leo mnajiona bora baada ya misimu 25,yaani miaka 25.kwamba hakujawahi kuwepo Yanga bora.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…