Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
NdioKwahiyo kisa Yanga hajafika ndo mpewe pongezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioKwahiyo kisa Yanga hajafika ndo mpewe pongezi?
Yanga wenye akili niwawili tu., nilisikia Muzungu anasema hivyoMfa maji haishi kutapatapa, wahenga walishasema
Baada ya Simba kufika hatua ya robo fainali ambapo tunajua kwamba hapo ndipo uwezo wao ulipoishia kwa misimu kadha.
Sasa wameona kuendelea nusu fainali ni jambo ambalo hawaliwezi hivyo wanaanza kujigamba kwamba wamecheza kiume, mara wapewe heshima, imefika mahali sasa wanaanza kujilinganisha na Yanga ili tu waone wamefanikiwa kwa kuwa Yanga alitolewa mapema Champions league.
Yaani kushindwa kwenu kunahusiana vipi na Yanga?
Kipimo chenu cha mafanikio kisiwe Yanga, pambaneni na hali yenu?
Make your own race, Simba ya 2023 isiwe Simba ya 2024 sio kuja kujilinganisha na Yanga, mtakuwa mnaishia hapo hapo robo kisa Yanga hajafika mkajiona mmefanikiwa
Nani aliyewaambia aliyeishia robo fainali ndo kafanikiwa? Yaani Hata medali tu anayopewa mshindi wa pili hampati alafu mnataka heshima? "Funny"[emoji1787]
Na Wydad aliyemtoa bingwa wa robo fainali kwa msimu wa 2022/23". Apongezwe na nani?Ndio
Apongezwe na utopoloNa Wydad aliyemtoa bingwa wa robo fainali kwa msimu wa 2022/23". Apongezwe na nani?
Basi tunampongeza Wydad. Nyie mkayajenge na OnyangoApongezwe na utopolo
Wanaoenda nusu fainali ni wanne tu. Nilisikia CAF wakisema hivyoYanga wenye akili niwawili tu., nilisikia Muzungu anasema hivyo
Hapana hatua ya mwisho ni kutolewa hatua ya chekechea na al hilal.Kwani mkuu Robo fainali ndo hatua ya mwisho ya Champions league?
Hatua ya mwisho ni fainali mkuuHapana hatua ya mwisho ni kutolewa hatua ya chekechea na al hilal.