Mashabiki wa SIMBA watashangilia timu gani?

Mashabiki wa SIMBA watashangilia timu gani?

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Tumekuwa tukishuhudia pindi Yanga anapokuwa uwanjani, basi mashabiki wa Simba hukaa upande wa wapinzani wa yanga ili kuwazomea.

Je katika mechi ya jumatano YANGA V/S AZAM mashabiki wa Simba watashangilia timu gani?

Nauliza hivyo nikiwa na maana yangu, kwa sababu imetokea kutokuelewana kati ya timu ya SIMBA vs AZAM kutokana na sakata la mchezaji RAMADHANI SINGANO (MESSI) mpaka baadhi ya viongozi wa Simba wakasusa na kusema hawatotumia bidhaa yoyote ile inayozalishwa na kampuni ya AZAM.

Je siku hiyo mashabiki wa simba watakaa upande gani?
 
Ndugu ni ndugu tu mtaitirafiana lakini kwenye msosi mnakaa meza moja mnakula chakula.
 
Mimi Simba damu damu nafunga shughuli zangu hiyo jumatano kuishangilia AZAM. Mshabiki wa Simba wa kushangilia YANGA hajazaliwa bado
 
Mimi Simba damu damu nafunga shughuli zangu hiyo jumatano kuishangilia AZAM. Mshabiki wa Simba wa kushangilia YANGA hajazaliwa bado

Kama kumbu kumbu yangu inasoma vizuri, nakumbuka pambano la Yanga na Azam lililopita mashabiki, wachezaji pamoja na kamityet yote ya simba walikuwa wanashangilia Yanga ishinde, Umesaahau?? Labda useme mashabiki wa Yanga na Wa simba hawawezi shabikia timu moja maana katika ile mechi, mashabiki Wa Simba walikuwa wanashabikia Yanga wakati wa Yanga walikuwa wanashabikia Azam.
Soka la bongo ni kama vile siasa za Ccm na Chadema.
 
Wawashangilie Azam tu, Yanga hatuwataki watu wanafiki kwenye timu yetu.
 
Hata Iddia Amin akicheza na Yanga...simba watamshangilia
 
Unatakiwa ukibeba mayai usiweke yote kwenye kapu moja
 
Kama unajua utani wa jadi/adui yetu hapo hakuna swali....Azam hajawahi kuwa mtani wetu
 
Kama unajua utani wa jadi/adui yetu hapo hakuna swali....Azam hajawahi kuwa mtani wetu

hamjawahi kuishangilia yanga walipocheza na azam nyinyi mkawa mnahitaji azam afungwe ili mshike nafasi ya pili?
 
Kuna tofauti ya mshabiki wa simba na mtu aliyevaa vazi jekundu

kwa iyo wale wanaokaa kwenye jukwaa la simba huwa sio mashabiki ila ni watu waliovaa jezi nyekundu za simba sio?.
 
Back
Top Bottom