youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
- #21
tusubiri tuone2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawashangilie Azam tu, Yanga hatuwataki watu wanafiki kwenye timu yetu.
Neno 'kushangilia' kwa mikia ni msamiati mkubwa sana kwa sasa, wanachojua wao ni 'kuzomea'. Ni kweli uhusiano wa Azam na mikia umeyumba sana hasa baada ya Singano kutua Azam kimaghumashi, ni wazi kuwa mikia hawataishangilia Azam bali muda wote watabaki kuizomea Yanga lakini baada ya muda watanyamaza tu!
Siko tayari na sitakuwa tayari iwe leo hata miaka ijao kushangilia yanga hata ikicheza na timu za mchangani mm ni mpinzani tu dua zangu leo yanga kwa aibu ifungwe
Simba wamesema leo wanawahi uwanjani mapema kuishangilia AZAM