[emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba bado ni timu bora Africa,kufungwa kupo kwenye soka.Washazima simu wazee wa mpira biriani
Yap wanasimba tulijua tutashinda hii mechi ya leo tena kwa zaidi ya 90% ila tumezidiwa kimchezo leo.Hahahaha!
Hawa jamaa hivi walikuwa na matokeo yao huko kwenye vibanda umiza?
Unataka kumlaumu mgalu bure.Timu nzima ilizidiwa mbinu na ilo ni jambo la kawaida kwenye mchezo.Hatuji toweka shida kocha kabaki na Mgaru Sipong aliye changamka
Safi sana mkuu, ila leo mmekua wapole hadi rahaπTupo, tania tu kiongozi.
Asiyekubali kushindwa siyo mshindani
HeheheheUmefurahiii[emoji849][emoji849]
Ni mwendo wa 4G dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mwendo wa 4G dadeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi hapa nashushia popcorn tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afadhali tupumue,wana kelele sana