Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

14 May 2021

Kaizer Chiefs vs Simba SC - Club Supporters ( Caf Champions League)


Kaizer Chiefs vs Simba SC from Tanzania in the Caf Champions League quarter finals at Fnb stadium.

Source : mmadieketseng sports news
 
15 May 2021

2ND HALF | KAIZER CHIEFS VS SIMBA | CAF HIGHLIGHTS


Source : Diski Tube
 
15 May 2021

Kaizer Chiefs vs Simba SC | CAF CHAMPIONS LEAGUE HIGHLIGHTS | HALFTIME



Source : Diski Tube
 
Simba ya leo!😄😄😄
View attachment 1786303
20210515211437.jpg
 
Inasemekana goli la simba lilikua kubwa, baadhi ya viongozi wamewasilisha malalamiko CAF juu ya hujuma hiyo iliyopangwa kwa makusudi kabisa kuididimiza club maarufu africa na duniani kwa ujumla.

Sisi kama wadau wa soka tumesikitishwa sana, tunaomba wataalam wa vipimo kutoka University of dar es saalam waende mara moja kuasidia uchunguzi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom