Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Dah,,!'hatari sana,nafsi inauma ila ndo tutafanyaje na hawa washenzi Kaizer wanakatisha ndoto za Simba timu yangu bora Africa.
 
Tatizo timu za bongo mpira wao unachezwa mdomoni na wasemaji wa timu i.e manara badala ya wachezaji,
 
30 Apr 2021
It is going to be tough stage for Simba SC


CAF Champions League Quarter-Final Draw Reaction Kaizer Chiefs v Simba Sports Club

Thoughts from eFM sports media Journalist based in Dar es Salaam, Tanzania Mr. Geoffrey Lea
Source : Front Runner
 
Walifanya figisu mchezo wa may 8 kwamba ingetokea wakafungwa na Young Africa ingewaathiri kidaiklogia kuelekea mchezo wa leo. Sasa Ni nini kimewasibu? Pakashume kaingia Cha kike Sauzi, poleni ndiyo mpira huo
 
Alafu timu ikizoea matokeo ikianza kupoteza huwa inapoteza mechi mfululizo mpaka za ligi,naomba hii isitokee kwa Simba Sports Club timu yangu.
Msijali kwa Mkapa Paka atakuwepo Wala hamtapotea, mtampa 5G
 

14 May 2021​

UCHAMBUZI wa Edo kumwembe Kaizer Chiefs vs Simba (CAF CHAMPIONS LEAGUE)

Source : HZB
 

15 May 2021​

Kaizer Chiefs 4-0 Simba | Gavin Hunt Was GOD Today | Machaka


Simba landed here in Tuesday and they were cruising all over South Africa forgetting tonight's game..
Source : iDiskiTV
 
Tupo tu.
Lawama kwanza zimuendee kocha kwa kupanga kikosi kibovu. Hakujuwa mahitaji ya mchezo na maumbile ya wachezaji wa Kaizer Chiefs.
Mechi hii haikumstahili Mkude na badala yake angecheza Nyoni au Muzamiru. Lengo lingekuwa ni kuzuia sana na mashambulizi machache ya kushtukiza. Katikati palikufa kabisa na wala hakufanya mabadiliko.
Kumkosa Morrison limekuwa ni pigo kubwa kwani hii ndio ilikuwa mechi yake kwani angejaribu kuifungua defense ya Kaizer.
Udhaifu wa mabeki simba kwenye mipira ya juu ulijidhihirika wazi kabisa na ma-forward kutokurudi kukaba.
Manula ajifunze ku-intercept cross na sio kusubiri tu mpira upigwe kichwa ndio aokoe.
Na haya madiliko ya ma- stiker wawili kwa mpigo mimi sijawahi kuyaona faida yake na mara nyingi yanadhoofisha timu tu. Striker anaweza kuwa mchezaji mwenye umbile lolote ilimradi tu awe tactical and clinical. Baada ya kumtoa Bwalya angempanga Ndemla ili aje ajaribu ma-shoot ya mbali. Na sijui ni kwa nini hajawahi kumpanga Ndemla hata mara moja.
Simba wajaribu kumpata Dube kwa bei yoyote na ndiye anayefaa kuwa striker wa Simba. Hawa wengine kusema ukweli ni miyayusho tu.
Simba waliwachukulia poa Kaizer na matokeo yake yamekuwa ni huzuni kubwa kwa mashabiki wa Simba laukama watani wamefurahia. Nao pia ubingwa ndio imetoka hiyo, wasubiri tu mbeleko. Hasira zetu tutazimalizia kwao.
 
Tupo kama kawa unafikiri sisi kama nyie wazee wa mbio kusikia simbaa tu unatoka ndukiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…