Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Acha kabisa Pacha ilikuwa zaidi ya njema kwa kweli. 😀Pacha Idd ilikuwa njema kwa kusindikizwa na 4G ya Simba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa Pacha ilikuwa zaidi ya njema kwa kweli. 😀Pacha Idd ilikuwa njema kwa kusindikizwa na 4G ya Simba..
Acha kabisa Pacha ilikuwa zaidi ya njema kwa kweli. 😀
Hahaha aya bana nyie tambeni tu
Hahahaaa. Jidanganye tu.Tutaishangaza nchi na dunia weekend hii, ikishindikana wanaovaa jezi kama za Kaizer Chiefs wajiandae kisaikolojia July 03
Mtani naona mnajaribu kujifunika shuka letu ili tusahau niseme tu haiwezekani Mtani.
Kabisa yaani. 😂😂😂😂Hahaha aya bana nyie tambeni tu
Najua wkend hii tumewasaidia sana kuwaasahaulisha kutojadili draw yenu na namungo
Mkuu unanifurahisha na comment zakoKwakweli.
Huyu kocha kudadeki zake sijui kasomea wapi ukocha bwege huyu!
Kaizer Chiefs wakasema nyie chezeni ilo sijui byriani sisi wacheni tufunge magoli. 😅😅😅Hahaha aya bana nyie tambeni tu
Najua wkend hii tumewasaidia sana kuwaasahaulisha kutojadili draw yenu na namungo
Mkiwa mabingwa wa kihistoria rekodi hizi bado zinaishiMtani naona mnajaribu kujifunika shuka letu ili tusahau niseme tu haiwezekani Mtani.
Wanasemaga cha kale huwa hakinuki etiii. Teh teh
Kaeni kwa kutuliaHahahaaa. Jidanganye tu.
Goli tano si lele Mama Mtani.
Wengine wabovu ndio.kinachoangaliwa unazidiwa kwenye mechi ngapi!Kumbu mkizidiwa nyie ndo halali, ila wengine wakizidiwa ni wabovu ee.
Ni wabovu sana mikia.Wengine wabovu ndio.kinachoangaliwa unazidiwa kwenye mechi ngapi!
Sio kila mechi unazidiwa,Simba tangia kaanza haya mashindano ni mechi hii tu ndo imeonyesha kuzidiwa zaidi kuliko mechi za nyuma.
Pole sana Mtani.Daah, hawa wajinga hawajui mpira ila wametuotea magoli
Tano hamna, mwisho tatu. Tujipange mwakani. Lengo lilikuwa kufika robo fainali, na limetimia, tulikuwa tunatafuta kuvusha zaidi ya lengo ila inashindikana na wala sio mbaya. Timu imejitangaza kimataifa na brand imekuwa. Kwa sasa Simba itakuwa ina kazi nyepesi kupata wachezaji, maana wachezaji wenyewe bila hata kutafutwa wanaitaka SimbaPole sana Mtani.
Naamini tano zipo kwa Mkapa. 😀
Tutapindua table.hamtaamini nyinyi vyura.Ni wabovu sana mikia.
Weka pesa acha porojo.Tutapindua table.hamtaamini nyinyi vyura.
Hapana mkuu, lengo mwaka huu sio robo bali nusu fainal.Tano hamna, mwisho tatu. Tujipange mwakani. Lengo lilikuwa kufika robo fainali, na limetimia, tulikuwa tunatafuta kuvusha zaidi ya lengo ila inashindikana na wala sio mbaya. Timu imejitangaza kimataifa na brand imekuwa. Kwa sasa Simba itakuwa ina kazi nyepesi kupata wachezaji, maana wachezaji wenyewe bila hata kutafutwa wanaitaka Simba