Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Acha kabisa Pacha ilikuwa zaidi ya njema kwa kweli. 😀
2776527_IMG-20210516-WA0034(0).jpg
 
Hahaha aya bana nyie tambeni tu
Najua wkend hii tumewasaidia sana kuwaasahaulisha kutojadili draw yenu na namungo
Kaizer Chiefs wakasema nyie chezeni ilo sijui byriani sisi wacheni tufunge magoli. 😅😅😅
 
Kumbu mkizidiwa nyie ndo halali, ila wengine wakizidiwa ni wabovu ee.
Wengine wabovu ndio.kinachoangaliwa unazidiwa kwenye mechi ngapi!
Sio kila mechi unazidiwa,Simba tangia kaanza haya mashindano ni mechi hii tu ndo imeonyesha kuzidiwa zaidi kuliko mechi za nyuma.
 
Ni wabovu sana mikia.
 
Pole sana Mtani.

Naamini tano zipo kwa Mkapa. 😀
Tano hamna, mwisho tatu. Tujipange mwakani. Lengo lilikuwa kufika robo fainali, na limetimia, tulikuwa tunatafuta kuvusha zaidi ya lengo ila inashindikana na wala sio mbaya. Timu imejitangaza kimataifa na brand imekuwa. Kwa sasa Simba itakuwa ina kazi nyepesi kupata wachezaji, maana wachezaji wenyewe bila hata kutafutwa wanaitaka Simba
 
Hapana mkuu, lengo mwaka huu sio robo bali nusu fainal.
 
Back
Top Bottom