Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Hii Simba ni overrated, timu nzima ili paralyse. Defense hakuna kitu, tena refa angekuwa mkali kuna penalties mbili kazifumbia macho, kiungo kilijifia kabisa, washambuliaji wamekosa mbinu kabisa za kupasua ule ukuta. Kaizer waliwaacha Simba wacheze mpira wa kishamba wa pasi nyingi zisizokuwa na athari, wao pasi tatu tayari wako golini. Mpira ni akili ndio lakini fitness na maumbile ya wachezaji wa Kaizer yamewapa Simba shida pia. Mipira ya juu wako njema kabisa, Mikson ile jezi akiichomoa anakuwa kama kavaa gauni, kwa kimo hicho utarajie anaweza kushinda mipira ya juu?? Yule chizi wa Ghana angekuwepo, pengine mngeweza pata hata la kufutia machozi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajifanya kujua kumshinda hata kocha hivyo Simba wamtimue Gomez wakuajiri wewe.

Unapaswa kuelewa kwamba mpira wa Tanzania ni mdogo sana kwa ule wa SA na hata ligi yao huwezi kulinganisha na hii ya kwetu.

Simba kipigo ni halali yao kwani naona wanacheza kwa kukariri zaidi kuliko kimbinu.

Simba are now faced with an uphill task of beating Kaizer Chiefs by five clear goals while ensuring that the South Africans never score the precious away goal, a near impossible task indeed.
 
Sisi huwa hatukimbii kama nyie mlikimbia taifa, mechi yenu na Namungo mliibuka baada ya goli kukataliwa
 

Simba SC preparations for the Kaizer Chiefs clash was derailed by Young Africans Sports club



Source : diski lounge
 
15 May 2021

Kaizer Chiefs Head Coach Gavin Hunt very happy after beating Tanzania giants Simba FC 4-0

Source : Front Runn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…