Mashabiki wa Simba watoweka mtandaoni

Nani akimbie,mashabiki wa Simba ni waelewa sana,Simba ni timu bora isipoku imezidiwa kimbinu,kwenye soka kuzidiwa ni kawaida sana tu.
Kumbu mkizidiwa nyie ndo halali, ila wengine wakizidiwa ni wabovu ee.
 
Acha tu bwashee, yaani zile kebehi, majigambo, kutembea kifua mbele na kujiona size yao Barcelona sijuwi kumepotea wapi?!
Hata mtaani hawaonekani pia!πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
 
Lupweko wera a yu. 🀣🀣🀣🀣

Najua mtandao ni shida huko ila njoo utatumia hata simu yangu tu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…