mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Unatoa huu mlio ukiwa wapiUtopolo misheni yao kubwa kwa sasa ni kuijaza Simba hofu...maana wao wameshajizeekea....hawajiamini...hawana content kwao bila kuitaja Simba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoa huu mlio ukiwa wapiUtopolo misheni yao kubwa kwa sasa ni kuijaza Simba hofu...maana wao wameshajizeekea....hawajiamini...hawana content kwao bila kuitaja Simba...
Ungewataja ingependeza sana.Mashabiki wa wenzangu wa Simba acheni Mihemko na lawama kwa viongozi zisizo na msingi kwa kuongozwa na mihemko na maneno ya mashabiki wa utopolo.
Kocha Fadlu Davis tokayupo Pre Season kule Misri baada ya game mbili za kirafiki alisema kuna tatizo kwenye safu ya Ushambuliaji na mchezaji anaeonekana hayupo kwenye mipango ya Kocha ni Fredy Michael Na si Mukwala kama wengi Mnavyoaminishwa na mashabiki wa Utopolo.
Tumpe kocha mda atengeneze timu kwa vile anavyoona yeye, hizi lawama kwa viongozi hazima maama yoyote Hitaji la kuongeza mshambuliaji ni takwa la kocha na si Viongozi na ni muhimu kocha Asikilizwe na kupewa mahitaji anayoyataka ili kufanikisha mipango yake, ili kama baadae atashindwa ambiwe tulikupa kila ulichokihitaji.
Ateba si Mchezaji Mbaya kama mnavyoaminishwa na takwimu za hivi karibuni, mchezaji kushindwa kufanya vizuri na timu fulani na kuhamia kwingine na kufanya vizuri si Jambo geni.Mashabiki wa Simba Mnapenda kulalamika sana na malalamuko yenu hayaba maana yoyote .
[emoji23][emoji23]mshaingia Kwa mfumoMashabik mihemuko wakiweza jizuia kufata propaganda za utopolo na kukaa na timu yao na kuivumilia ikiwemo kuvumilia wachezaji na kuwaamini timu itakuja kuwa balaa hii..
Ila wanapelekeshwa na upepo wa nje ndo kwanzaa mechi 2....
Inashangaza sana...
Ngoja tukae pembeni kwanza tuishabikie timu yetu huku mitaani maana humu JF kila mtu ni kocha...
Tena wewe ndiye unayeongoza kwa UPOTOSHAJI![emoji23][emoji23]mshaingia Kwa mfumo