GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Yanga inaingiajehapa wakati ni ujinga wenu ndio umewaponza?!
Kama wewe ndio Mwanasimb mwenye akili hao wengine wakoje?
Jana tumeshajua nani ni OmbaombaVipi na Wewe Mwenyekiti wako Dkt. Mshindo Msolla ' ameshakujumuisha ' katika Kamati yake ya Kutembeza Bakuli na Kuombaomnba au bado?
Jana tumeshajua nani ni Ombaomba
Una chuki na Yanga wewe si bure.Yaani unalaumu Yanga kwa kufungwa kwenu!!!HSasa si bora Sisi wana Simba Wajinga ( Mangumbaru ) kuliko nyie wana Yanga Wapumbavu ( Mapopoma ) Mkuu au?
Ungemalizia na kumpa tusi, yebo yebo bwana akili zao za ovyo ovyo kweli mie nadhani pia wivu unawasumbua tuwaombee tu maana wivu ukizidi unakuwa mchawiNaomba unipe tofauti kati ya Kuombana Viatu na Jezi pale Mpira ukimalizika. Na kama leo ukishangaa Kuwaona Wachezaji wa Simba wakiwaomba wale wa Klabu ya Sevilla Viatu mbona hushangai Mashabiki wa huko huko Ulaya ( First World ) nao wakiwa wanakimbia Kuwaomba Wachezaji wa Timu Kubwa Kubwa za huko Viatu na Jezi zao? Iweje leo iwe ni ' Nongwa ' kwa Wachezaji wa Simba ( Third World ) wao wakifanya hivyo?
Na kwanini Wewe katika Tukio zima la jana Jicho lako hujalipeleka zaidi katika masuala ya ' Kiufundi ' zaidi na ulichokiona Wewe ni Wachezaji wa Simba Kuomba Viatu kwa Wachezaji wa Sevilla? Hivi hapa nikisema kuwa unachokishangaa Wewe na ' Wapuuzi ' Wenzako wa Yanga ni muendelezo ule ule wa Kiutamaduni wa ' Kiuswahili Uswahili ' walionao Watanzania wengi?
Ningewaona wana Yanga kama mna ' Akili ' sawa sawa kama mngewekeza muda Wenu mwingi mnaotumia Kupiga ' Majungu ' kujiuliza ni kwanini Yanga kwa Siku za karibuni ' Mafanikio ' yamewakimbia na kuna uwezekano kwa jinsi Simba inavyozidi Kutangazika Kimataifa basi itawaacha mno Kimafanikio katika Sekta nzima ya Mchezo wa Soka nchini.
Mkuu umechambua vizuri sana, Ila nikuhakikishie tu mashabiki wa Simba wanalalamika kuhusu mechi ya jana ni wale walioanza kushabikia mpira juz. juz tu. Kuhusu hao vyura achana nao, wana stress za kukosa ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na wakae wakijua ubingwa watausikiaga tu, kamwe hawatakuwa mabingwa ndani ya miaka 10 ijayo.
Mkuu umechambua vizuri sana, Ila nikuhakikishie tu mashabiki wa Simba wanalalamika kuhusu mechi ya jana ni wale walioanza kushabikia mpira juz. juz tu. Kuhusu hao vyura achana nao, wana stress za kukosa ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na wakae wakijua ubingwa watausikiaga tu, kamwe hawatakuwa mabingwa ndani ya miaka 10 ijayo.
Una chuki na Yanga wewe si bure.Yaani unalaumu Yanga kwa kufungwa kwenu!!!H
Unatumia maneno yanayosanifu wewe ni nani na una tabia za aina gani.Ni lini nimewahi Kukuambia hapa kuwa GENTAMYCINE naipenda Yanga yako / yenu? Tena kama wakitokea ' Magaidi ' na wanatafuta Watu wa kwenda ' Kulilipua ' Jengo la Yanga pale Mitaa ya Twiga na Jangwani au wakitaka Mtu wa Kuvaa ' Bomu ' Mwilini na kwenda ' Kulilipua ' Basi la Yanga FC hasa humo ndani akiwemo Kocha Mwinyi Zahera na ' Bichwa ' Tambwe basi Mimi nitajitolea tena bure kabisa.
Na nawachukia hivi sana kwakuwa nyie ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' Waandamizi kabisa.
Ungemalizia na kumpa tusi, yebo yebo bwana akili zao za ovyo ovyo kweli mie nadhani pia wivu unawasumbua tuwaombee tu maana wivu ukizidi unakuwa mchawi
Unatumia maneno yanayosanifu wewe ni nani na una tabia za aina gani.
Umbumbumbu aliousema Rage hakuwa amelewa, ustaadh yule hanywi pombe. Yanga hatuna mashabiki wa hovyo hovyo wa viwango vya 'jumaa'Huko nyuma nilidhani Mashabiki wa Simba SC wana uelewa mkubwa wa Masuala mazima ya Kimpira kuliko wale Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ wa Yanga SC kumbe taratibu sasa naanza kuona hali ni tofauti na huenda wakawepo wengi kuliko vile nilivyokuwa nadhania.
Kwa maana ya kwenda sevilla ni kweli hakuna.. lakini simba wote ni wazee?Hakuna ' skauti' atakayevutiwa na wachezaji wa Simba ya sasa! Hakuna atakayesajili mtu 'mzee' kama Kagere, Okwi, Boko, Wawa, Nyoni........! Afu Simba
Nadhani kuna kitu utajifunza kupitia picha hiiHivi kule ulaya wachezaji huombana viatu pindi mechi inapomalizika?
Isije kuwa Simba pia ina wachezaji wa hovyo hivyo
Yanga anamuomba nani hivi kiongozi kumuambia mwanachama au mpenzi wa timu kuchangia ndio kuomba basi hii kali ata katika nyumba za ibada nao masheikh na wachungaji niombaomba maana wanawaambia waumini wachangie.Anayeomba kwa Mzungu Tajiri na anayeomba kwa Mwafrika Masikini Mwenzie nani ni ' Mpumbavu / Popoma ' na ana afadhali huku akiwa na mwelekeo wa Kufanikiwa zaidi? Nasubiria jibu langu hapa tafadhali.
Kwa maana ya kwenda sevilla ni kweli hakuna.. lakini simba wote ni wazee?
Scout waliotazama game ya jana ni wa La liga tu hakuna scout wa Afrika wa timu kubwa kuliko simba ?
Au kuuza player mpaka aende ulaya tu
Kumbuka marehemu Mambosasa aliiba godoro guest.Kumbukumbu zaidi wakati Yanga ' wakimcheka ' Mchezaji wa Simba Adam Salamba Kumuomba ' Viatu ' Mchezaji wa Sevilla Banega hiyo Jana Kumbukumbu nzuri kabisa ambayo inapatkaka katika Gazeti la Michezo la SPOTI LEO la mwaka 2009 lina Kichwa cha Habari kisemacho ' WACHEZAJI WA YANGA WAIIBA MASHATI MISRI '.
Mnapokuwa mnaidhihaki Simba Kumbukeni kuwa hata nyie wana Yanga ' Kumbukumbu ' zenu nyingi tena mbaya na zenye Aibu tunazo / zipo na mkifanya ' Masihara ' tutaanika hapa hapa na Kocha wenu Mmoja wa Kigeni alichofanyiwa na Wanaume nchini Misri katika Hotel waliyoifikia Yanga na Kumtaja pia na Mchezaji wenu Mmoja ' Mwandamizi ' kabisa nae alichofanyiwa na Kocha wenu mwingine nae ni Raia wa Kigeni vile vile. ' Wapuuzi ' wakubwa nyie.