Mashabiki wa soka wa Nchi gani wanaongoza kwa utukutu?

25 Fearsome Soccer Hooligan Gangs You Never Want To Meet In Person

their mottos;Loved by few, hated by many, feared by all.

Lazio Roma, Italy


Slask Wroclaw, Poland


Galatasaray Istanbul, Turkey



Millwall FC , England


Boca Juniors, Argentina



Manchester United, England


Panathinaikos Athens, Greece


Ajax Amsterdam, Netherlands


Wisla Cracow, Poland


Glasgow Rangers, Scotland


Flamengo Rio de Janeiro, Brazil

Besiktas Istanbul, Turkey

Red Star Belgrade, Serbia

St. Petersburg, Russia

Universitario Lima, Peru

Shakhtar Donetsk, Ukraine

Juventus Torino, Italy

Ferencvaros, Hungary


 
Hatari sana mtaalamu safi kwa kuongeza nyama.

Kuna game Argentina kati ya River plate na Boca Junior sio ya kwenda na watoto hiyo.
 
Ila naona warusi kama wakorofi zaid maana kwanza walevi sana waingereza na jeur yao yote lakin walichezea mkong'oto mpaka warus wakatishiwa kufukuzwa mashindanon.
 
Hatari sana mtaalamu safi kwa kuongeza nyama.

Kuna game Argentina kati ya River plate na Boca Junior sio ya kwenda na watoto hiyo.
Ndiyo kabisa mkuu, amerika ya kusini marefa pia ni wababe mno.kunakipindi wanachapana mkonona wachezaji...Chamsingi na kitu muhimu kwenye hili swalani kamali mkuu, watu wanabet sana
 
Hawa Egpyt nao sio salama mechi za Zamalek,Ismailia,Alhaly Mabomu ya machozi ni kawaida,viwanja bila mashabiki ni kawaida,Afrika ya kaskazini ina mashabiki watukutu mnoo tena utamu wameingiza timu 3 Kombe la dunia,Egypt,Morroco,Tunisia.
Hivi weusi waliofanikiwa kwenda Kombe la Dunia ni nchi ipi na ipi?
 
Hawa nao ni tukutu mnooo mechi ya Galatasary,Fenerbance,Besiktas na fujo mwanzo mwisho na pia linachangiwa na political instability ndan ya nchi yao.
Katika ligi yao mwaka huu, Galatasaray kuna mechi mpk inaisha red cards zilikuwa 2 kwa mbili! 4 Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…