BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
hahahahahaha...ovyo
Alafu unawajibu wakina dada tu...wakina sisi hapana!😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha...ovyo
haahahahaha acha ufala na weweAlafu unawajibu wakina dada tu...wakina sisi hapana!😀😀
haahahahaha acha ufala na wewe
Hatari sana mtaalamu safi kwa kuongeza nyama.25 Fearsome Soccer Hooligan Gangs You Never Want To Meet In Person
their mottos;Loved by few, hated by many, feared by all.
Lazio Roma, Italy
![]()
Slask Wroclaw, Poland
![]()
Galatasaray Istanbul, Turkey
![]()
Millwall FC , England
![]()
Boca Juniors, Argentina
![]()
Manchester United, England
![]()
Panathinaikos Athens, Greece![]()
Ajax Amsterdam, Netherlands
![]()
Wisla Cracow, Poland
![]()
Glasgow Rangers, Scotland
![]()
Flamengo Rio de Janeiro, Brazil
![]()
Besiktas Istanbul, Turkey
![]()
Red Star Belgrade, Serbia
![]()
St. Petersburg, Russia
![]()
Universitario Lima, Peru
![]()
Shakhtar Donetsk, Ukraine
![]()
Juventus Torino, Italy
![]()
Ferencvaros, Hungary
![]()
Hatari sana mtaalamu safi kwa kuongeza nyama.
Kuna game Argentina kati ya River plate na Boca Junior sio ya kwenda na watoto hiyo.
Hawafui dafu kwa WarusiWaingereza haziwatoshi.
Ndiyo kabisa mkuu, amerika ya kusini marefa pia ni wababe mno.kunakipindi wanachapana mkonona wachezaji...Chamsingi na kitu muhimu kwenye hili swalani kamali mkuu, watu wanabet sanaHatari sana mtaalamu safi kwa kuongeza nyama.
Kuna game Argentina kati ya River plate na Boca Junior sio ya kwenda na watoto hiyo.
Hawafui dafu kwa Warusi
Hivi weusi waliofanikiwa kwenda Kombe la Dunia ni nchi ipi na ipi?Hawa Egpyt nao sio salama mechi za Zamalek,Ismailia,Alhaly Mabomu ya machozi ni kawaida,viwanja bila mashabiki ni kawaida,Afrika ya kaskazini ina mashabiki watukutu mnoo tena utamu wameingiza timu 3 Kombe la dunia,Egypt,Morroco,Tunisia.
Senegal na nigeriaHivi weusi waliofanikiwa kwenda Kombe la Dunia ni nchi ipi na ipi?
Ingekwepo Algeria Na Libya ingekuwa no weusiSenegal na nigeria
Ingekua warabu na c wa Africa kumbuka hao huwa hapendi kujiita africansIngekwepo Algeria Na Libya ingekuwa no weusi
Na kwenye treni na mwendokasi zao, jamaa wanaiba hatariKuna mapusha wa chile wale jamaa ni wakorofi sana ukiwaanza, bahati mbaya urusi hatutakua nao
Katika ligi yao mwaka huu, Galatasaray kuna mechi mpk inaisha red cards zilikuwa 2 kwa mbili! 4 Mkuu!Hawa nao ni tukutu mnooo mechi ya Galatasary,Fenerbance,Besiktas na fujo mwanzo mwisho na pia linachangiwa na political instability ndan ya nchi yao.