Mashabiki wa Taifa Stars baadhi acheni uzwazwa

Mashabiki wa Taifa Stars baadhi acheni uzwazwa

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Jibuni hili swali ; KENYA v/s MOROCCO nani alifungwa ?

Acheni kukatisha watu tamaa likiwemo benchi la ufundi.

Kama wewe ni mzalendo wa kweli toa maoni yako hapa tutayafanyia kazi "Kama yanatekelezeka"

"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE..................."
 
Kwa Stars hii hii.......... au kuna nyingine?
 
Back
Top Bottom