kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Roho mbaya na wivu wa kike utawaua nyie Uto.Ifike hatua mkubali kuwa Simba imewapita level kadhaa mbele na hilo tu litawafaa kisaikolojia,vinginevyo mtaendelea kupata taabu sana...Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa, na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
bora dauda mda mwingine akili zinakaa sawaa njoo kwa kitenge sasa .....utachoka ni mchawi si kwa roho mbayaWachawi kina kitenge na dauda
TakatakaAkuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa, na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Msimu gani mliwahi kukubali kuwa Simba ina timu nzuri?.Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa, na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Umeandika kwa hisia sanaAkuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa, na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Kwa hiyo ni mmoja wa wale Manara alisema hamnazomimi ni Ya-ngaaaaaa
Kuna watu wanateseka wakiwa Songea sema sijui ni mashindano yapi yanafanyika huko ila nadhani ni UMISETAGalaxy imewaangusha sana Uto/vidimbwi fc.
Poleni sana watani, swali wa msingi UNATESEKA UKIWA WAPI?
Mpira ni kufunga magori na hakuna bahati kwenye Mpira!!...Simba SC wamefanya vizuri!!.. Watanzania hawataki kuona tunaendelea kwenye Soko!!wanachokisema ni sahihi kwa tulipokua tumefikia msimu jana, ukweli tumerudi nyuma hatua nyingi kabla ya kufika tulipopataka, ukiondoa yale magoli ya bahati nasibu hakuna cha ziada tulichokifanya jana na mechi ya marudiano ndo itakupa picha ya nisemacho.
tukubali tukatae tumedrop kidogo bt hili huwezi liona ukitanguliza ushabikiMpira ni kufunga magori na hakuna bahati kwenye Mpira!!...Simba SC wamefanya vizuri!!.. Watanzania hawataki kuona tunaendelea kwenye Soko!!
Ume drop kwasababu zipi?!!..Umeshinda ugenini?!!..unasema umdrop au maana ya kudrop ni kushinda?tukubali tukatae tumedrop kidogo bt hili huwezi liona ukitanguliza ushabiki
Unadhani viwango vya Mpira ni kwasababu Una piga sana pasi na umefungwa au kuwa na magari na wachezaji wazuri lakini mnafungwa au kushinda?!!..tukubali tukatae tumedrop kidogo bt hili huwezi liona ukitanguliza ushabiki