Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Rivers ni mwanaume, alipiga Utopolo nje ndani pamoja na kupiga viongozi wao na kuwabambikia COVID 19Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0.
Je, wangependa kusikia al ahly imeshapigwa ni ya kawaida kwa simba kaizer chiefs ni ya kawaida kwa simba,wydad ni ya kawaida, Nkana ni ya kawaida,pryamid kwa sare na azam ni ya kawaida kifupi galaxy ni bora na imefungwa na timu bora zaidi.
Kifupi simba kwa haya mashindano ya Africa kwa sasa nae ni kigogo yupo ndani ya kumi bora.
Swali la kumalizia ajifungishe ili mwakani wengine wakose mbeleko au waendelee ili watoe msada kwenye tuta?
Ni hayo tu!