Mashabiki wa Tanzania mnataka simba iifunge timu gani hapa Africa?

Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0.

Je, wangependa kusikia al ahly imeshapigwa ni ya kawaida kwa simba kaizer chiefs ni ya kawaida kwa simba,wydad ni ya kawaida, Nkana ni ya kawaida,pryamid kwa sare na azam ni ya kawaida kifupi galaxy ni bora na imefungwa na timu bora zaidi.

Kifupi simba kwa haya mashindano ya Africa kwa sasa nae ni kigogo yupo ndani ya kumi bora.
Swali la kumalizia ajifungishe ili mwakani wengine wakose mbeleko au waendelee ili watoe msada kwenye tuta?

Ni hayo tu!
Rivers ni mwanaume, alipiga Utopolo nje ndani pamoja na kupiga viongozi wao na kuwabambikia COVID 19
 
Yanga ikifungwa wapambe wanasema ni timu nzuri.
Simba ikishinda wapambe wanasema ni timu mbovu.
(wapambe) waandishi wa GSM

Dhana hii inawavimbishwa kichwa sana Yanga.
Pamoja na kuzidiwa kimataifa na Namungo walioingia makundi msimu uliopita.
Biashara na Azam ambao bado wapo kimataifa.
Hawa waliotolewa mapema wanaitwa timu bora nao wanakubali tu.
Na kuwaita wenzao wote ni wabovu.
Hii ipo Tanzania tu. Wabovu kujitapa kuwa ni wazuri.
Basi tunawombea waingie japo makundi msimu huu.
Kwani wamesha itoa Rivers United ya Nigeria kwa kuwafunga 3:0 kwa mkapa na wamshinda 1: huko Nigeria.
Msimu huu watachukua Kombe la Africa Champion League kiulaini tu.
Hongera sana timu bora ya Yanga.
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Nb:Galaxy Ni Mbovu km rivers tu.

1. Wakat Simba wanaenda Botswana mlisema ni timu mbovu itapigwa nyingi Sana

2 Simba ameshinda Sasa Ni alikutana na kibonde ngoja aende huko makundi.

3 simba angefungwa ungekuja hapa kusema imefungwa na timu dhaifu, tuliwaambia Simba hii haiendi kokote. AU
Wale galaxyy wanaupiga mwingi sana tulijua Simba atapigwa tu.

Wachawi Ni watu wa aina hii!

Ila Simba tumeanza kushona mbeleko ya kumbeba Tena mtu mwakani. Japo shukrani hamna.
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Hiyo timu mbovu ndo imefuzu level ambayo we imekushindwa ukapigwa nje ndani.
 
Simba haijawahi kufunga Timu yoyote hapa Afrika then Yanga wkatulia bila ya kusema hiyo Timu ni Mbovu.
Hata Al-Ahly walisema ni mbovu
AS-Vita walisema ni mbovu ingawa wachezaji wake waliwachukua na kuwasifu kuwa ni Bonge ya machezaji
Hii si Al Ahly tunayoijua.

Hii si Vita tunayoijua wachezaji wake wengi wameondoka.

Tukacheza na Mazembe Simba Super cup wakasema Mazembe imechoka hii

El Mereikh imechoka Sana

Hawa Plateau United mnajisifu mmewafunga hawajacheza mpira muda mrefu sabab ya korona. Ni vibonde.

FC Platnum hivyo hivyo hadi tukacheza robo fainali

YANGA NI UKOO WA WACHAWI WATUPU.
 
wanachokisema ni sahihi kwa tulipokua tumefikia msimu jana, ukweli tumerudi nyuma hatua nyingi kabla ya kufika tulipopataka, ukiondoa yale magoli ya bahati nasibu hakuna cha ziada tulichokifanya jana na mechi ya marudiano ndo itakupa picha ya nisemacho.
Magoli ya bahati nasibu km yale mliyomfunga RIVERS UNITED. Au vipi.
 
umeshinda ugenini ukicheza na team gani? hebu tuache kubisha ili muda ndo utupe majibu sahihi
Jana Waydad kafungwa na timu gani? Al Ahly katoa droo na timu gani? Hazina majina wala haziko ktk raman ya soka Africa. Vigogo waliteseka hasa. Mpongezeni Simba.

Naweka na matokeo yte ya mechi za 17 October muone watu walivyohenya.
africasoccerzone_20211018_202714_0.jpg
 
mbona unanilisha maneno mkuu, sijasema pasi ndo kiwango bt mpira tunaocheza sasa hauna mipango ya kutafuta magoal kama awali, unadhani bila yale magoal ya kubatisha tungeshinda?
Kwanini Galaxy hawakubahatisha nao wakafunga hata 4?

Unawaza kwa makalio ww. Km huna mpigaji mzuri wa Kona, km wachezaji hawawezi kujiposition unafikiri utafunga tu kwamba siyo swala la mbinu Bali Ni bahati.

Angalia goli la pili jinsi Galaxy walifanya uzembe, uzembe ambao simba waliutumia kuwaadhibu. Kwako ww Ni bahati.

Nb: Km Ni bahati naona hata we Ni mtu mwenye bahati, nenda kamwombe Da Rosa akupange mechi ijayo utatupia hata 3
 
Kwann was inge shinda na wakati Wame shinda??

Mpira ni mbinu ndugu.. Simba walicho fanya wao wakatafuta magori wa kapata.. Kilicho Fata ni kushusha Presha ya gem... Ndio mana Wame Pata matokeo.

Ukisha Pata Goli nini unataka Tena??

=unaakumbuka kilicho fanya simba wafungwe na kaiza?

Mpira ni sayansi hasa pale watu au timu inapo jaribu kutaffuta matokeo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Galaxy waliachwa wachezee mpira Tena katikati ya uwanja kwasababu haukuwa na madhara kwa Simba.

Morrison alikuwa akipata mpira anakontroo hatoi pasi mapema ili kupoteza muda,kushusha presha ya mchezo na ili kutengeneza faulo na alifanikiwa.

Mpira ni mbinu. ILA UTOPOLO WATAELEWA?
 
Yanga ikifungwa wapambe wanasema ni timu nzuri.
Simba ikishinda wapambe wanasema ni timu mbovu.
(wapambe) waandishi wa GSM

Dhana hii inawavimbishwa kichwa sana Yanga.
Pamoja na kuzidiwa kimataifa na Namungo walioingia makundi msimu uliopita.
Biashara na Azam ambao bado wapo kimataifa.
Hawa waliotolewa mapema wanaitwa timu bora nao wanakubali tu.
Na kuwaita wenzao wote ni wabovu.
Hii ipo Tanzania tu. Wabovu kujitapa kuwa ni wazuri.
Basi tunawombea waingie japo makundi msimu huu.
Kwani wamesha itoa Rivers United ya Nigeria kwa kuwafunga 3:0 kwa mkapa na wamshinda 1: huko Nigeria.
Msimu huu watachukua Kombe la Africa Champion League kiulaini tu.
Hongera sana timu bora ya Yanga.
Wanasema watachukua makombe yote. Timu bora hii.
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Pole kwa maumivu makali uliyonayo kwa kuumizwa na mafanikio ya Simba.
 
Jana Waydad kafungwa na timu gani? Al Ahly katoa droo na timu gani? Hazina majina wala haziko ktk raman ya soka Africa. Vigogo waliteseka hasa. Mpongezeni Simba.

Naweka na matokeo yte ya mechi za 17 October muone watu walivyohenya. View attachment 1979187
Hata uwawekee matokeo gani, wana utopolo hawata kuelewa kabisa.
Wana ugua ugonjwa wa Erotomania.
Ugonjwa wa wivu dhidi ya Simba.

Wanatakiwa kufanyiwa maombi mazito na Nabii Tito na Nabii Mashimo, haraka sana ili warudi katika ufahamu wao wa kawaida.
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Kwahiyo yanga ni bora na ikapigwa nje ndani na Rivers
 
Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0.

Je, wangependa kusikia al ahly imeshapigwa ni ya kawaida kwa simba kaizer chiefs ni ya kawaida kwa simba,wydad ni ya kawaida, Nkana ni ya kawaida,pryamid kwa sare na azam ni ya kawaida kifupi galaxy ni bora na imefungwa na timu bora zaidi.

Kifupi simba kwa haya mashindano ya Africa kwa sasa nae ni kigogo yupo ndani ya kumi bora.
Swali la kumalizia ajifungishe ili mwakani wengine wakose mbeleko au waendelee ili watoe msada kwenye tuta?

Ni hayo tu!
Tukimfunga mazembe nitafurahi sana
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Sasa Kama Simba ni mbovu na yanga itakuwaje?
Mbona mnajisahau ?
Unamjua kapumbu?
Unawajua rivers United?.
 
Back
Top Bottom