Mashabiki wa Tanzania mnataka simba iifunge timu gani hapa Africa?

utopolo hawatakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie mliomanuliwa nje ndani na Rivers United tuwaweke kundi gani? Luc alikuwa sahihi kuwaita nyie kima.
 
Yanga
 
Huu ndio msimu pekee ambao simba imerahisisha kazi ya kutinga group stage ikiwa away.Misimu mingine ilikuwa kupindua meza ya akina nkana , platinum. Ila cha kushangaza wanasema hii simba ni mbovu, wanatumia vigezo gani?
 
Yanga
 
Unadhani viwango vya Mpira ni kwasababu Una piga sana pasi na umefungwa au kuwa na magari na wachezaji wazuri lakini mnafungwa au kushinda?!!..
mbona unanilisha maneno mkuu, sijasema pasi ndo kiwango bt mpira tunaocheza sasa hauna mipango ya kutafuta magoal kama awali, unadhani bila yale magoal ya kubatisha tungeshinda?
 
Tumecheza mechi nne

Dhidi ya Yanga, hii mechi ilikuwa derby

Dhidi ya Biashara, away kwenye pich kama ile ulitarajia mpira mzuri?

Dhidi ya Dodoma, away tena kwenye pich kama ile ulitarajia mpira mzuri

Dhidi ya Galaxy, away kwenye knock out stage misimu iliyopita tulifungwa na Nkana tuka fungwa na Platinum

Niambie tume drop vipi?
 
Wewebn una Avatar ya namba 456 halafu unajiita namba 1?
 
tuupe nafasi muda utupe majibu maana tutabishana bure mpaka basi
 
mbona unanilisha maneno mkuu, sijasema pasi ndo kiwango bt mpira tunaocheza sasa hauna mipango ya kutafuta magoal kama awali, unadhani bila yale magoal ya kubatisha tungeshinda?
Kwann was inge shinda na wakati Wame shinda??

Mpira ni mbinu ndugu.. Simba walicho fanya wao wakatafuta magori wa kapata.. Kilicho Fata ni kushusha Presha ya gem... Ndio mana Wame Pata matokeo.

Ukisha Pata Goli nini unataka Tena??

=unaakumbuka kilicho fanya simba wafungwe na kaiza?

Mpira ni sayansi hasa pale watu au timu inapo jaribu kutaffuta matokeo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana Vita walikula 4,Merrick 4 Platinumz 4, Kaizer 3. Wakasema ooh kuna Corona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu, hao jamaa nadhani imeshakuwa desturi yao, kila mwaka lazima kuwe na sababu ambazo wanalazimisha zionekane zina hold water!

Mwaka jana, hakuna hata Uto aliyekubali kuwa Simba walikuwa vizuri, zaidi ya kubeza na kusema wamebahatisha.

Mwaka huu, wamekuja na sababu nyingine kuwa simba wanabahatisha, wakati huo huo wanafahamu fika Simba kachukua point tatu ugenini!

Sielewi walitaka Simba icheze na timu gani hasa, na hata angecheza na Al Ahly ingekuwa marudio tu, sabab Sio mara ya kwanza simba kumfunga Al Ahly!

Anyway, ukishakuwa mshabiki wa mpira, muda mwingine unajitoa akili ili kujifariji dhidi ya mwenendo mbaya wa timu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…