George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Heshima kwenu wakongwe..!
Leo tujadiri kidogo kuhusu hii mada.
Kumekuwa na utaratibu wa mashabiki wa timu kubwa zilizopo Ulaya hasa Uingereza kuhoji uhalali wa mashabiki wa Man City waliopo Afrika na Tanganyika kwa ujumla.
Sasa naomba niulize,hawa mashabiki wa hizi timu kubwa za Ulaya,hapa nazizungumzia timu kama Man Utd,Liverpool,Barcelona,Chelsea,Arsenal na Real Madrid ambao wapo Tanganyika wamepatikanaje..?