Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao.
Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika. Kwenye tasnia ya michezo navutiwa sana na mashabiki wa uingereza walivyo vichaa na walevi wa mafanikio ya taifa lao.
Pia taifa la "Hungry" mashabiki walinivutia sana namna walivyojitoa kuipa molare timu yao licha ya kwamba haikufanya vizuri kwenye mashindano.
Unaweza toa ushauri wako kwa mashabiki wa hapa kwetu tz tuna lipi ya kujifunza. Ushauri wangu ni huu;
Tuache upotosha na unafiki kwani michezo ni furaha, ajira na burudani. Kama ni uzalendo matokeo yangeonekana. Ushabiki wa Simba na yanga umegeuka chuki, wivu na uhasama rejea press ya manara au kuzomewa katibu was TFF mkutanoni.