Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

Tupo tele.
 
Defence inayoongozwa na juuko? Defence iliyogongwa 5 ndo unasema ni wagumu kufungika?
 
Unachekesha wewe mtanzania, yaani km juzi tu mlikua mnataka kumsajili Mshambuliaji wetu manzoki? Kwaio magoli hayo aliyokuwa anafunga manzoki yalikuwa ni ya wapi? Au kumbe mlikua mnataka kusajili Mshambuliaji asiyefunga magoli??
Wewe sio mganda wewe ni shabiki la utopolo bongo wazi aka wazee wa kupigwa hamsa na Simba
 
Wewe sio mganda wewe ni shabiki la utopolo bongo wazi aka wazee wa kupigwa hamsa na Simba
Mwenyewe hapo ulipo, haukumbuki ni lini Kinyumenyume FC wamemfunga Yanga mara ya mwisho. Ndio maana umebakia kusimulia habari za zama za mawe!

Kumfunga Yanga goli tano mwaka arobaini na saba, hakukufanyi ufuzu robo fainali CAF msimu huu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
2013 ulikuwa bado upo skull mdogo
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Defence inayoongozwa na juuko? Defence iliyogongwa 5 ndo unasema ni wagumu kufungika?
Unanicheka Mimi kuhongwa 5-0 Morocco?We si umegongwa 3-0 nyumban kwako na Hawa Raja? Kule jijini Casablanca utagongwa zaidi ya goli 10 nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…