Wanachofanya ni kukagua miundombinu ya timu mwenyeji itakayoshiriki. Si lazima wakutangazie, ukiona manyoya ujue ameliwaIweke hiyo ya CAF, nachojua mimi CAF bado hawajatoa list ya timu zote 24 zitakazoshiriki Super league. Sasa wewe unayesema Al Hilal hawapo kwenye list nipe ushahidi wa list kutoka CAF
Wanachofanya ni kukagua miundombinu ya timu mwenyeji itakayoshiriki. Si lazima wakutangazie, ukiona manyoya ujue ameliwa
Wajumbe wa CAF hawajaenda kabisa Sudan kukagua miundombinu (viwanja, hotel nk)Sasa kama hawajaweka hadharani timu zote 24 zirakazoshiriki. Wewe kutikuwepo kwa Al Hilal kwenye super leavue umeona wapi?
Mbumbumbu akapiga gongowazi 5-0 taifaGONGOWAZI AKAPIGA MBUMBUMBU 2-1 TAIFA.
Kwa akili yako unadhani timu zote 24 zimeshakaguliwa na wajumbe? Haya weka timu hizo 24 ambazo wewe umeona zimeendewa kwaajili ya kukaguliwaWajumbe wa CAF hawajaenda kabisa Sudan kukagua miundombinu (viwanja, hotel nk)
Tumejaa teleUzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.
Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende
Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.
Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.
Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.
Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki[emoji120]
Na Wapigweeeeeeeee,sisi Waganda Kyaka tunasema,,,,,,,wakizidiwa wamwambie Robertinhooooo,,,,,,,,tukimbieeeKaribuni sana waganda wenzangu tuisapoti Vipers
Wakolotyaaa,,,,banange seboTanzania na Uganda zina undugu wa damu kabisa, ndio maana Nyerere alipoona waganda wananyanyaswa na Idd Amin alituma jeshi letu kwenda kuwakomboa hawa ndugu zetu.
Kwaio sio zambi kuwasapoti Vipers. Kila la kheri kwa ndugu zetu wa vipers
Hata Mseven alikulia kwetu Izigo,akasoma Udsm na baadaye akaanzisha FRONASA.Tanzania na Uganda zina undugu wa damu kabisa, ndio maana Nyerere alipoona waganda wananyanyaswa na Idd Amin alituma jeshi letu kwenda kuwakomboa hawa ndugu zetu.
Kwaio sio zambi kuwasapoti Vipers. Kila la kheri kwa ndugu zetu wa vipers
Vipers maskani yake ni jiji la Entebbe na sio jiji la Kampala.Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.
Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende
Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.
Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.
Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.
Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki[emoji120]
Entebe ni Kampala hio hio ni 43Km kutoka city centreVipers maskani yake ni jiji la Entebbe na sio jiji la Kampala.
Chukua hiyoo
Me sio mganda, lakini naitakia kila la kheri Vipers, ushindi uwe mkubwa sana, ikibidi jipigieni hata bao 4, poa tu.Karibuni sana waganda wenzangu tuisapoti Vipers