Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

Iweke hiyo ya CAF, nachojua mimi CAF bado hawajatoa list ya timu zote 24 zitakazoshiriki Super league. Sasa wewe unayesema Al Hilal hawapo kwenye list nipe ushahidi wa list kutoka CAF
Wanachofanya ni kukagua miundombinu ya timu mwenyeji itakayoshiriki. Si lazima wakutangazie, ukiona manyoya ujue ameliwa
 
Sasa kama hawajaweka hadharani timu zote 24 zirakazoshiriki. Wewe kutikuwepo kwa Al Hilal kwenye super leavue umeona wapi?
 
Wajumbe wa CAF hawajaenda kabisa Sudan kukagua miundombinu (viwanja, hotel nk)
 
Hawa ndo wale walimlala utopolo bao mbili taifa??hawa wanajua asee
 
Wajumbe wa CAF hawajaenda kabisa Sudan kukagua miundombinu (viwanja, hotel nk)
Kwa akili yako unadhani timu zote 24 zimeshakaguliwa na wajumbe? Haya weka timu hizo 24 ambazo wewe umeona zimeendewa kwaajili ya kukaguliwa
 
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.

Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende

Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.

Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.

Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.

Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki[emoji120]
Tumejaa tele
 
Tanzania na Uganda zina undugu wa damu kabisa, ndio maana Nyerere alipoona waganda wananyanyaswa na Idd Amin alituma jeshi letu kwenda kuwakomboa hawa ndugu zetu.

Kwaio sio zambi kuwasapoti Vipers. Kila la kheri kwa ndugu zetu wa vipers
Hata Mseven alikulia kwetu Izigo,akasoma Udsm na baadaye akaanzisha FRONASA.
 
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.

Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende

Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.

Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.

Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.

Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki[emoji120]
Vipers maskani yake ni jiji la Entebbe na sio jiji la Kampala.
Chukua hiyoo
 
Hatimae siku imewadia rasmi, baniani mbaya ila kiatu chake dawa.

Makolo wanaona masaa yanakimbia kwa kasi ya ajabu, wanatamani yarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom