Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

Mashabiki wa Vipers SC tukutane hapa

Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.

Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende

Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.

Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.

Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.

Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki[emoji120]
We' UTOPOLO una kazi! Umeiponda Simba weeee kwa ile ID yako ya kawaida, ukaona haitoshi, umeamua kuitengeneza nyingine mpya, maalum kwa lengo hilo hilo! Huwa ninajiuliza, hivi ile miaka minne, mlikuwa mnaishi vipi?
 
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda.

Siku ya jumaosi tunawakaribisha Simba kutoka nchini Tanzania mchezo utakaopigwa St Mary's Stadium-Kitende

Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.

Na Kwa wale mashabiki wao ambao Wana mpango wa kusafili kuja huku Uganda kutazama pambano hili nawaomba iyo ela Yao bora wanywee bia maana kipigo tutakachompa Simba sio cha kawaida.

Karibuni sana kuipa shavu timu yetu hii ya vipers ili tuungane na Raja kusonga mbele hatua ya robo fainali.

Mungu ibariki Uganda, Mungu ibariki Afrika Mashariki[emoji120]
Niwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu[emoji23]
JamiiForums229484241.jpg
 
Mume wa uto fc kaliwa kimoja cha nguruwe pale st mary nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom