Ungewambia hukohuko au unawaogopa?
Kukataa kucheza mechi ya afcon dhidi ya congoMleta mada hebu tueleze kinagaubaga kosa la Dickson JOB ni lipi?
Ndiye alikuwa tegemeo ama ?
Mashabiki wa bongo ni waropokaji tu. Juzi tu Ben White wa Arsenal alimwambia kocha Southgate hataki kwenda kwenye timu ya taifa England na kocha akakubali. Inasemekana chanzo ni kocha msaiidizi wa England alimbwatukia bila heshima mbele ya wachezaji wenzake walipokuwa Qatar. Hujasikia mashabiki wa England wakipayuka kwa nini hahaenda kwenye timu ya taifa. Sasa wewe unabwatuka tuvkama chizi kwa sababu tu Job anatoka Yanga. Upuuzi mtupuNimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako,mama Yako,baba Yako na kila mtu.Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Si mnasema ni mfupi hafai !?? Si warefu wapo....
Ni faida kwa yanga kumtumia kwenye michezo ya club bingwa Africa akiwa mwenye utimamu wa afyaNimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Hii ni kuweweseka na zile 5Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
kwahiyo wewe unempa job hich kipaji?. Umemsikia upande wa job unasemaje? Punguzeni kuwashwa na mambo ya watu.Yanga kumejaa wapuuzi wengi, utaona watakavyogeuka mchezaji akiifanyia timu yao, Feitoto alipogoma kucheza yanga mashabiki wao walimshambulia Sana utafikiri wao ndio wamempa kipaji cha kucheza mpira lakini Sasa hi wanatetea ujinga wa Job.
Unajua sababu za kukataa au unamhukum bila kusikiliza upande wake... Kiufupi kabla ya mechi hiyo tiali Kocha alikuwa na plan yake bila kumhusisha job kipindi Cha kwanza na mpka wanafanya maandalizi iko hivyo... Ila baada ya kuingiza vyumba vya kubadilishia nguo ndipo job anaambiwa avae kwaajli ya kucheza beki 2... Automatically Job kwasababu hajajiandaa kucheza kipind Cha kwanza na mechi ilikuwa na umhimu akaamua kumwambia hayupo sawa... Yaani hapa walitaka akacheze bila utayari wa mwili na akili ili aharibu aonekane mbovu?. Huyo Moroco ni msengelema washed.
Kwamba kocha akikupanga inabidi ujitathmini kwanza kama ni tegemeo au si tegemeo ili ukubali au ukatae kucheza?Ndiye alikuwa tegemeo ama ?
Ila wewe umenizidi viwango kwasababu wewe kwenye kata yenu wewe ndie Diwani kabisaMpumbavu ni wewe na ukoo wako,mama Yako,baba Yako na kila mtu.