Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

Habari ndugu zangu

Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
Tulia basi.
 
Watukane na wewe kwani sh ngapi...
Ubaya ubwela
 
Back
Top Bottom