THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Unauwakika sio Kila I'd mtu anayo fungua unazani ni wa mwaka huo watu Wana I'd nyingi tulia kama hujui kitu shobo zako zitakuponzaDogo umejiunga mwaka huu tuu unaleta shobo, usitafute umaarufu kwa kiki za kitoto.
wewe una Id ngapi? ili tuamini unachokisemaUnauwakika sio Kila I'd mtu anayo fungua unazani ni wa mwaka huo watu Wana I'd nyingi tulia kama hujui kitu shobo zako zitakuponza
zote hizo zinafaida ganiNinazo 9
Tulia basi.Habari ndugu zangu
Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
Na hii nayo ni yako?Ninazo 9
Kama za yule RC?Ninazo 9