luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa magoli 4 .
Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola watapigwa goli ngapi leo?
Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola watapigwa goli ngapi leo?