luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hivi mechi ya simba inaanza saa ngapi? Maana tumechoshwa sasa na hizi habari za kujirudia rudia.
Shirikisho yanga anaingia makundiMi naona kibarua Cha Nabi kipo rehani. Akishindwa kuingia makundi kombe la washindi na Kisha akashindwa makundi shirikisho kazi hana
Shida qqinakuja pale ambapo msemaji wa chama letu Dar Young Africans alipo tuambia tunakwenda kumpiga mtu 4 o clockHivi mechi ya simba inaanza saa ngapi? Maana tumechoshwa sasa na hizi habari za kujirudia rudia.
Itakuwa heriShirikisho yanga anaingia makundi
Hivi mechi ya simba inaanza saa ngapi? Maana tumechoshwa sasa na hizi habari za kujirudia rudia.
Kuna baadhi ya wanautopolo a.k.a mavi fc wanasema Ibenge aliongea na wakongo wenzie akina bangala wakauza mechi.Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa magoli 4 .
Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola watapigwa goli ngapi leo?
Itakuwa kweliii maana aiwezekan kabisaaa watufanyie ushwaini uleeeKuna baadhi ya wanautopolo a.k.a mavi fc wanasema Ibenge aliongea na wakongo wenzie akina bangala wakauza mechi.
Yaani wameaminishwa vibaya sana kuhusu hii timu ndio maana wanafikia kuhisi mechi imeuzwa
Wanasema Saa Kumi Na Mbili JioniHivi mechi ya simba inaanza saa ngapi? Maana tumechoshwa sasa na hizi habari za kujirudia rudia.
Hujalazimishwa kuzisoma wewe zipotezee tu maisha yaendelee tatizo wewe unataka ujibu kila post,utarukwa akili bure humu watu wanajazana upepo tu si zaidi ya hilo mjomba.Hivi mechi ya simba inaanza saa ngapi? Maana tumechoshwa sasa na hizi habari za kujirudia rudia.
Mwenzako ameshanijibu hapo juu. Nipo sehemu muda huu nasubiri mpira uanze.Hujalazimishwa kuzisoma wewe zipotezee tu maisha yaendelee tatizo wewe unataka ujibu kila post,utarukwa akili bure humu watu wanajazana upepo tu si zaidi ya hilo mjomba.
Tunaongoza kwa goli moja na ni dakika ya 20 ya kipindi cha pili.Mwenzako ameshanijibu hapo juu. Nipo sehemu muda huu nasubiri mpira uanze.
Wa Angola ni wawakilishi original wa Taifa, hao wa matopeni ni wa mchongo lopo lopoNikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa magoli 4 .
Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola watapigwa goli ngapi leo?