Mashabiki wa Yanga SC pamoja na viongozi wamekua kisoka

Joined
Aug 2, 2022
Posts
60
Reaction score
75
Hivi karibuni tumeshuhudia mashabiki wa Yanga Sc pamoja na viongozi wakiwa wamekua kisoka hususani pale timu yao inapopoteza mchezo mashabiki huwa watulivu na kuamini kuwa mchezo wa mpira wa miguu unamatokeo matatu kushida, kutoa sare na kupoteza.

Mchezo ya kirafiki ya Yanga Sc Vs Vipers Fc yanga ilipoteza kwa bao 2-0.

Mchezo wa Yanga Sc Vs Azam yanga ilipata sare ya bao 2-2.

Mchezo wa Yanga Sc Vs Al Hilal Sudan yanga ilipata sare ya bao 1-1.

Mchezo wa Al Hilal Sudan Vs Yanga Sc Yanga ilipoteza kwa bao 1-0.

Licha ya Matokeo hayo Mashabiki pamoja na viongozi wa Yanga Sc wamekuwa watulivu na kuendelea kuwaamini wachezaji wao pamoja na benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Nabi tofauti na upande wa pili wanapopata matokeo ya sare au kupoteza mchezo hukimbilia kumtafuta mtu aliyesabisha matokeo hasi ya mchezo ili wamrushie lawama na muda mwingine kumataka aondoke awaachie timu yao.

NB: Rais wa Yanga Sc alishasema Nabi bado anamkataba na Yanga Sc na hawafanyi kazi kwa mihemko ya watu.

 
Ila hakusema msimu huu alisema tuu itakuwa ya kwanza kuleta ubingwa wa africa yaweza kuwa hata 2030 kaka
 
Wale wengine humu jf wangekuwa wameshaanzisha mada zaidi ya 100, achilia zile zinazofutwa na Moderator...
 
"nimepaelwa zaidi hapo mwisho kwny NB "
 
Mgunda kibarua chake kinaisha tarehe 23
Aliwahenyesha akiwa na coastal union tu, sasa ana majembe mazuri ya kazi tena ndani ya Simba, subiri tuone nani kitumbua kitaingia mchanga kati ya Mgunda na Nabi.
 
Jumapili ijayo endeleeni kuwa watulivu Generali atakapokuwa akichomeka miiko nyuma
 
Aliwahenyesha akiwa na coastal union tu, sasa ana majembe mazuri ya kazi tena ndani ya Simba, subiri tuone nani kitumbua kitaingia mchanga kati ya Mgunda na Nabi.
Sahau kuhusu jambo la Simba kumfunga Yanga... Hiyo haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…