Denis Lucas Shio
Member
- Aug 2, 2022
- 60
- 75
Hivi karibuni tumeshuhudia mashabiki wa Yanga Sc pamoja na viongozi wakiwa wamekua kisoka hususani pale timu yao inapopoteza mchezo mashabiki huwa watulivu na kuamini kuwa mchezo wa mpira wa miguu unamatokeo matatu kushida, kutoa sare na kupoteza.
Mchezo ya kirafiki ya Yanga Sc Vs Vipers Fc yanga ilipoteza kwa bao 2-0.
Mchezo wa Yanga Sc Vs Azam yanga ilipata sare ya bao 2-2.
Mchezo wa Yanga Sc Vs Al Hilal Sudan yanga ilipata sare ya bao 1-1.
Mchezo wa Al Hilal Sudan Vs Yanga Sc Yanga ilipoteza kwa bao 1-0.
Licha ya Matokeo hayo Mashabiki pamoja na viongozi wa Yanga Sc wamekuwa watulivu na kuendelea kuwaamini wachezaji wao pamoja na benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Nabi tofauti na upande wa pili wanapopata matokeo ya sare au kupoteza mchezo hukimbilia kumtafuta mtu aliyesabisha matokeo hasi ya mchezo ili wamrushie lawama na muda mwingine kumataka aondoke awaachie timu yao.
NB: Rais wa Yanga Sc alishasema Nabi bado anamkataba na Yanga Sc na hawafanyi kazi kwa mihemko ya watu.