spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
paka shume shenz taitPanya buku we, kenge madoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
paka shume shenz taitPanya buku we, kenge madoa.
Usije kukimbia hii post yakoKesho vyura wanakeketwa live kudadadeq
Wewe upo Kibaigwasisi tuliopo hapa algeria ndo tunajua hali halisi
Kesho sjui tunaponyaje
Aibu hiyo haitaifikia ile ya uchawi wa hadharani kule South AfricaKesho taifa linaenda kuingia katika historia ya aibu kubwa ya karne .
Kesho saa 4Game saa ngapi
Kama wembe upo karibu tumia huo kabisa. Lakini YANGA ndio hiyooooo huko ambako hamjawahi kufikia. Najua unawaza hadithi za kombe la chief abiola.$@$$$@$@*!!*$$@¥€£₩?????
Mwambieni Waziri wenu kuwa na hata Kesho Yanga SC ikitota kwa Kufungwa na USMA Goli 3 kwa 0 au 4 kwa 0 aendelee kuwa na Vibe hili hili kama alilosikika nalo leo sawa?Kiufupi kikosi kipo katika mikono salama na Raisi wa Yanga sc Eng. Hers kafanya interview na kumshukuru Raisi wa nchi Mama Samia Hasani kwa kutoa ndege.
Lakini pia waziri wa sanaa na michezo Dkt Pindi Chana na balozi wa Algeria Jackob Kingu walikwenda kuitembelea kambi ya Yanga nakuwatia moyo wachezaji.
Yanga sc ipo katika mikono salamaView attachment 2643681View attachment 2643682View attachment 2643683
JF wa yanga hawachezi uwanjani humu ni mbwembwe tuKiufupi kikosi kipo katika mikono salama na Raisi wa Yanga sc Eng. Hers kafanya interview na kumshukuru Raisi wa nchi Mama Samia Hasani kwa kutoa ndege.
Lakini pia waziri wa sanaa na michezo Dkt Pindi Chana na balozi wa Algeria Jackob Kingu walikwenda kuitembelea kambi ya Yanga nakuwatia moyo wachezaji.
Yanga sc ipo katika mikono salamaView attachment 2643681View attachment 2643682View attachment 2643683
Kweli kabisa mkuuJF wa yanga hawachezi uwanjani humu ni mbwembwe tu
Siendi kokote nimekaa pale[emoji117][emoji117]Usije kukimbia hii post yako
Ukimaliza kujiita USM Alger utajiita Azam FCHABIB THALATHA BIN THIFULI WABILAH TAIFIQشسوسيطنيتيتيتينيت[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Simba wana kombe lipi?Baadae hatutak habar za sisi tumevaa [emoji966] na kujifarij na vimaneno uchwara .
Tulishakubalina ukubwa wa timu ni kushinda kombe tofaut na hapo huna tofaut na zalan
Jana hatujalala fataki zimepigwa usiku kucha hapa kibaigwaWewe upo Kibaigwa