Mashabiki wa Yanga sc puuzieni tetesi zisizo na mashiko zinazosambazwa JF member kuwa Yanga sc inafanyiwa fitina huko algeria.

$@$$$@$@*!!*$$@¥€£₩?????
Kama wembe upo karibu tumia huo kabisa. Lakini YANGA ndio hiyooooo huko ambako hamjawahi kufikia. Najua unawaza hadithi za kombe la chief abiola.
 
Mwambieni Waziri wenu kuwa na hata Kesho Yanga SC ikitota kwa Kufungwa na USMA Goli 3 kwa 0 au 4 kwa 0 aendelee kuwa na Vibe hili hili kama alilosikika nalo leo sawa?
 
JF wa yanga hawachezi uwanjani humu ni mbwembwe tu
 
Baadae hatutak habar za sisi tumevaa [emoji966] na kujifarij na vimaneno uchwara .
Tulishakubalina ukubwa wa timu ni kushinda kombe tofaut na hapo huna tofaut na zalan
 
Baadae hatutak habar za sisi tumevaa [emoji966] na kujifarij na vimaneno uchwara .
Tulishakubalina ukubwa wa timu ni kushinda kombe tofaut na hapo huna tofaut na zalan
Simba wana kombe lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…