The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Hee yamekua hayo๐ ๐Kamfanyie mkutano Mangungu
Ule wimbo wenu wa Mangungu tuachie timu yetu umeishia wapiHee yamekua hayo๐ ๐
Tabora ameumalizaUle wimbo wenu wa Mangungu tuachie timu yetu umeishia wapi
Haaa wanafungwa kina nani sasa Yanga au PrisonMnafungwa 2-1 leo
Walioanzisha uzi.!!Haaa wanafungwa kina nani sasa Yanga au Prison
Kocha anafukuzwa leo akifungwa UtopoloWalioanzisha uzi.!!
Wanafikiri mabadiliko ni kwenye maneno
Hamna kocha pale, mchumia tumbo tuKocha anafukuzwa leo akifungwa Utopolo
Leo Isra mwenda ndani, Bakari nondo ndani.Hamna kocha pale, mchumia tumbo tu
Nondo uchochoro, huwa anatoa assist ya kujifungaLeo Isra mwenda ndani, Bakari nondo ndani.
Kwetu furaha tu akitoa.Nondo uchochoro, huwa anatoa assist ya kujifunga
Si Team ilikua imekamilika hii jamani au.Tupate winga kama Kipre Jr au Bernard Morrison...
Tupate beki wa kati, wa kushoto na namba 6
Viongozi wenu wanasajili mfungaji, Wanafikiri kutokushinda ni kosa LA mfungaji..!!!Tupate winga kama Kipre Jr au Bernard Morrison...
Tupate beki wa kati, wa kushoto na namba 6
Si tunaye Kagoma?Yanga bingwa
Aje kiungo Mkabaji tu
Kweli afu kagoma ni wao kumbe,alisma KamweSi tunaye Kagoma?