Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

Ni mda wakutafuta wachezaji vijana kwa hapa Tz tutafunga sana ila kimataifa itakua ni mwendo wa vichwa chini
 
Azizi Ki akae benchi mpaka aote sugu makalioni, ana mauzi sana siku hizi, ile mechi na Mashujaa ilikuwa ni mechi ya kushinda goli zaidi ya 5 ila kipa, Aziz Ki na Mudathir wameigeuza kuwa ni mechi ngumu.
 
Tupate winga kama Kipre Jr au Bernard Morrison...
Tupate beki wa kati, wa kushoto na namba 6
 
Back
Top Bottom