Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Tubadilishane mawazo,maoni na mapendekezo kuhusu klabu yetu,uimara wa timu,udhaifu,tujadili hapa,ikumbukwe jf ni uwanja mpana,najua injinia hersi hupita humu so maoni au mapendekezo yako yatachukuliwa moja kwa moja na kiongozi mwandamini wa klabu yetu.

Mamluki nanyi mnakaribishwa. Karibuni.
 
Yanga bingwa,
kocha Ramovich maua yake, anafanya vizuri sana kuchezesha wachezaji wote, inasaidia kupumzisha wengine waliotumika sana.
Ila mipango ya kuifunga Simba ianze maana makolo ndo wameshikilia ufunguo wa kombe letu kila mechi wanashinda iwe kihalali au kwa mchongo wa marefa, only Yanga can stop kolowizard.
 
Hii Team amekuja kuiua Chama,Analipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yeyote pale Yanga.Amewavunja wenzake kimorali.

Leo Baka na Mudathiri wanaonekana kama hawana thamani,hawajitumi kabisa.

Dube,apewe muda tutaona mengi this season
 
Kasongo yeyeeee...
Kuna baadhi ya wachezaji historia inawabeba ila sasa hivi hawana maajabu sana.

Kingine, timu inacheza Kwa kurelax sana. Hakuna Ile kiu ya kutaka kufunga.
 
Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ipo thread ya Yanga kwa ajili ya mambo kama haya. Tukajadili kule

 
Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ipo thread ya Yanga kwa ajili ya mambo kama haya. Tukajadili kule

ile thread ni nadra mno kufikika.
 
Back
Top Bottom