Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

Mm mshabiki kindakindaki wa Yanga jamani engineer Hersi na GSM yake hatufai waondoke timu iendeshwe na wanachama hawa jamaa ni tumepigwa
 
Tubadilishane mawazo,maoni na mapendekezo kuhusu klabu yetu,uimara wa timu,udhaifu,tujadili hapa,ikumbukwe jf ni uwanja mpana,najua injinia hersi hupita humu so maoni au mapendekezo yako ya
IMG-20241207-WA0005.jpg
tachukuliwa moja kwa moja na kiongozi mwandamini wa klabu yetu.

Mamluki nanyi mnakaribishwa. Karibuni.
 
Al manusura watu wale mkono dadeki
 
Timu imerudisha moral, inashinda,tunafurahi na kisukari tunakipata kwa utamu wa hii yanga,RAMOVIC ni mtu na nusu anajua kutufurahsha, Aziz KI amerudi. YANGA BINGWA ANAFUNGWAJE....
 
Back
Top Bottom