Mashabiki wa Yanga wa Songea wapata ajali wakitokea Dar

Mashabiki wa Yanga wa Songea wapata ajali wakitokea Dar

Mrao keryo

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
1,901
Reaction score
2,566
Mashabiki wa timu ya Yanga walikuwa wametoka dar kurejea Songea kupitia njia ya Lindi wamepata ajali asubuhi maeneo ya huria wilaya ya Namtumbo !

Dereva kashindwa kukata kona.

Hakuna vifo bali majeruhi kadhaa!chanzo mdau aliekuwepo kwenye gari!
IMG-20230530-WA0012(1).jpg
IMG-20230530-WA0013(2).jpg
 
Duuh pole kwa majeruhi wapone haraka...
 
Poleni sana wananchi,Mungu awaponye haraka.AMEN[emoji120]
 
Huria ni Kijiji kipo Tunduru, ni Kijiji Cha mwisho kabla hujaianza wilaya ya Namtumbo.
Wapone haraka
 
Back
Top Bottom