Mashabiki wa yanga wagombana usiku wa maneno kulinda uwanja,ushirikina on work

Mashabiki wa yanga wagombana usiku wa maneno kulinda uwanja,ushirikina on work

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kuelekea mtanange kati ya yanga na lipuli ,hali ya sintofahamu ilitokea baada ya mashabiki wa yanga wanaojiita makomando au ninja kuingia uwanja wa samora usiku wa manane ili waulinde uwanja

Jambo lililopingwa vikali na mashabiki wa lipuli ambao walidai hao wanaojiita makomando wa yanga hawana lolote Bali walitaka kuingia na mganga wao ili wafukie vitu

Mtafaruku ulikuwa mkubwa usiku wa jana

We we TE="Ghazwat, post: 25617044, member: 329420"]Vyura wanapenda sana ushirikina[/QUOTE]
Wewe kiazi nyamaza.
 
Kuelekea mtanange kati ya yanga na lipuli ,hali ya sintofahamu ilitokea baada ya mashabiki wa yanga wanaojiita makomando au ninja kuingia uwanja wa samora usiku wa manane ili waulinde uwanja

Jambo lililopingwa vikali na mashabiki wa lipuli ambao walidai hao wanaojiita makomando wa yanga hawana lolote Bali walitaka kuingia na mganga wao ili wafukie vitu

Mtafaruku ulikuwa mkubwa usiku wa jana

Tanzania hakuna mashindano ya mpira, kuna mashindano ya uchawi kwenye viwanja vya mpira
 
Makomando Wa [HASHTAG]#Kiwizard[/HASHTAG] 😀 😀 😀
 
hata songea na majimaji walitaka kuingia wakaitiwa ffu wakaenda kupumzishwa as viongozi wa majimaji wakipokea maelekezo kutoka ssc
 
Back
Top Bottom